Mwimbaji wa Nyimbo za injili anae kuja kwa kasi Mtumishi Joseph John Anaomba Msaana kwa wale wote wenye uwezo wa kusimamia Muziki wake ili aweze kumuimbia Bwana naKumsifu Mungu Pia Ni Kijana mwenye Uwezo na Vipaji Ving Anauwezo Wa Upigaji wa Puano Na utengenezaji Beat za aina Mbalimbali Pia ni Mwalimu Mzuri sana kwaUfundishaji Wa kwaya nanyimbo Kadhaa kama Alfa na Omega. Bwana ndiye Mchungaji Niende wapi na nyingine nyingi
MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI
BAADA YA KUINGIA DSM NDIPO ALIPO NIPA OMBI LAKE LA KUTAKA KUIENDELEZA KAZI YA BWANA
Kwa wale wote wenye utayari wa kumsaidia ili mtumishi wa Mungu aweze kuendelea kulitangaza neno la Mungu
kwa mawasiliano
+255657409743
+255683257792
Mwimbaji wa Nyimbo za injili anae kuja kwa kasi Mtumishi Joseph John Anaomba Msaana kwa wale wote wenye uwezo wa kusimamia Muziki wake ili aweze kumuimbia Bwana naKumsifu Mungu Pia Ni Kijana mwenye Uwezo na Vipaji Ving Anauwezo Wa Upigaji wa Puano Na utengenezaji Beat za aina Mbalimbali Pia ni Mwalimu Mzuri sana kwaUfundishaji Wa kwaya nanyimbo Kadhaa kama Alfa na Omega. Bwana ndiye Mchungaji Niende wapi na nyingine nyingi
Reviewed by Minister Mwakafwila
on
21:14
Rating:
![Mwimbaji wa Nyimbo za injili anae kuja kwa kasi Mtumishi Joseph John Anaomba Msaana kwa wale wote wenye uwezo wa kusimamia Muziki wake ili aweze kumuimbia Bwana naKumsifu Mungu Pia Ni Kijana mwenye Uwezo na Vipaji Ving Anauwezo Wa Upigaji wa Puano Na utengenezaji Beat za aina Mbalimbali Pia ni Mwalimu Mzuri sana kwaUfundishaji Wa kwaya nanyimbo Kadhaa kama Alfa na Omega. Bwana ndiye Mchungaji Niende wapi na nyingine nyingi](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEibxHWB6pN70lg3tB3e955IYMAmnxt4OV1MtPVdpNB4ooXQiXm0j3id94_zU-1T5SUJfjo40vuawUl_xxVMa_dDB_E9eBZjhK4LILhjSk45jYIR1Pzf4jBrwkO-IHjKgg2TifbbCwmC85o/s72-c/C360_2015-02-24-11-40-14-095.jpg)
Post a Comment