Huyu ndie nabii anaye jiita Yesu Kristo wa Brazil ambapo bahadhi ya ahad zake zimeisha anza kutimia na anawanafunzi na wafuasi kama alivyo kua Yesu Kristo

Jina ambalo anatumia ni
Incri Kristo

Icri cristo akiwa na Baiskel yake eneo la Yerusalemu Mpya
Hawa ndio wanafunzi wake ambao wana vaa majoho ya Blue kofia za kusukwa naKamba nyeupe kiunoni
Incri Kristo akiwa kwenye Yerusalem yake mpya huko Brasilia nchin Brazil akifanya maombi na wanafunzi wake 
Hii ndio Yerusalemu Mpya huko Brazil
Icri cristo anamiaka (66) na ninabii ambae anapendwa kuliko maelezo kwanza ana wafuasi wengi kama alivyo kua Yesu kristo  
na kwa maelezo tu unambiwa kua huyu Incri Cristo ni nabii ambae ahadi zake zinaendelea kutimia huko nchini Brazil 


©2015

KWA MATANGAZO MBALIMBALI

WASILIANA

NASI KUPITIA

+255657409743
+255683257792
abellykelvin4@gmail.com
By +++Kelvin Abelly++

Huyu ndie nabii anaye jiita Yesu Kristo wa Brazil ambapo bahadhi ya ahad zake zimeisha anza kutimia na anawanafunzi na wafuasi kama alivyo kua Yesu Kristo Huyu ndie nabii anaye jiita Yesu Kristo wa Brazil ambapo bahadhi ya ahad zake zimeisha anza kutimia na anawanafunzi na wafuasi kama alivyo kua Yesu Kristo Reviewed by Minister Mwakafwila on 01:41 Rating: 5

Hakuna maoni

Post AD